Bukobawadau

HAPPY BIRTHDAY BLOG YA MWANA WA AFRIKA

Mmiliki wa blog ya Mwana wa Afrika, Augustine Mgendi

 Kwanza kabisa napenda kuwashukuru wadau wote wote wa blog hii ya Mwana wa Afrika kwa support yenu mliyonipa tangu naanzisha blog Agost 20 mwaka 2010 ambapo lep natimiza miaka 2 tangu nimeanza kuwahabarisha kupitia blog hii.

 Najua bila nyie wadau nisingeweza kueleafikia hata hii leo,napenda kuwahakikishia kuwa nitaendelea kuwahabarisha habari mbalimba kutoka mkoani Mara na nje ya mkoa wa Mara naamini nitaendelea kuwahabarisha kadri Mola atakavyoniwezesha.

                                     www.mwanawaafrika.blogspot.com
Asanten wadau
Next Post Previous Post
Bukobawadau