Bukobawadau

MATUKIO YA MCHANGANI KWA JUMA HILI

Tunakutana na wadau wakiendelea kubalizi
Pembeni mwa fukwe za kiroyera wakiwa wameegesha gari lao lililofungwa kisawasawa
Katika Exclusive wakasema wao ni wageni na wanatokea Majuu pande za London Uingereza, wamekuja kwa kuendesha gari lao safari iliowachukua miezi mitatu na siku 5.!!!
Wakatoa ramani kunionyesha mipaka waliopitia  nikapata cha kujifunza...!!
Baada ya kustahili napata picha ya pamoja ni Mr & Mrs Pierre Lieberberg ni wazariwa wa Uingereza na wanafanya kazi  nchini Afrika ya kusini.
Wakaanza kuangaika na misosi na nikaendelea kukomaa na Camera yangu.
Chezea Camera ya bukobawadau...!!
Upande mwingine Mdau akifanya kuperuzi na kitu cha hp ni kitu kutoka united kingdom wauzaji wa bidhaa za aina mbalimbali
 Wakotokeza machinga wa  kimasai wakiwa na bidhaa zilizo mvutia Bi Pierre
 Katikati ya biashara ikatakiwa mkalimani,  ndipo Mdau Hafez Salum(Chichi) akajipatia ongera.
Bi Angel na Evody Dogo Ditto.
Tukisema bidhaa nzuri zipo sehemu flani wapo wasiojali na matokeo yake ndio haya
Zoezi la kuunganisha waya kutoka kwenye laptop kwenda kwenye umeme..!!
Chombo chenyewe kilipo...!!
 Anaonekana Odella na Mdau Robert Nelson Robby wakifanya "u Jux"!!!
 Wadau wakiwa wamepozi katika kupata picha ya Bukobawadau Blog.
Kushoto ni Mdada Julieth akiendelea "kutweet"!
Maisha yakiendelea ufukweni
Ni 'full kavuye' mchanganyiko wa rika na jinsia zote
Mandhali ya Beach.

WAKIONGEA NA BUKOBAWADAU  BLOG MR&MRS LIEBENBERG WAMESEMA WAMESIKITISHWA  NA KUPATA WAKATI MGUMU KUTAFUTA VIVUTIO KATIKA MKOA WETU KWANI HAVIJAHAINISHA KWENYE GPRS KAMA VITU MUHIMU NA HAWAKUPATA  MTANDAO WOWOTE  WA KISERIKALI UNAO TANGAZA MJI WA BUKOBA....!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau