Bukobawadau

MKUU WA MKOA WA KAGERA MH . FABIAN MASSAWE AANDAA FUTARI KWA WAGENI MBALIMBALI

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe aandaa futari ya nguvu,pichani ni baadhi ya wananchi na vwaumini wa dini yai  kiislam walioalikwa
 Baadhi ya viongozi wakijisevia kushoto ni Sheikh wa Wilaya ya Bukoba na muakilishi wa Sheikh wa Mkoa Sheikh Haruna Kichwabuta akifuatiwa na Haji Abba Sued.
 Anaonekana haji Abbakari Galiatano akipata huduma ya futari
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Kanali Mstaafu Fabian I.Massawe
 Sehemu ya wageni waalikwa

Sheikh Haruna kichwabuta akitoa shukrani kwa niaba ya waalikwa na kuongeza nasaha  zake kikubwa sheikh amewataka waislam kuwapuuza watuwa naowazuia kushiriki zoezi la sensa lililopangwa kuanza Agosti 26, mwaka huu kwani wana malengo yao binafsi na kusema yeye na waislamu wa Bukoba wanaungana na kauli ya Sheikh Mkuu.


Wadau waalikwa wakiendelea kupata futari


MAELEZO YANAFUATA


Next Post Previous Post
Bukobawadau