Bukobawadau

NYUMBA HII INAUZWA IKO BOKO CCM BARABARA YA NEW BAGAMOYO!!

 Nyumba hii iko sokoni, inajumla ya vyumba vitatu.
 Chumba kimoja master bed room na viwili vya kawaida na ina choo cha public.
 Jiko  sebule kubwa dining na store vinahusika
Ina uwanja wa kutosha. Iko umbali wa kilomita moja kutoka bara barani na iko karibu na shule  ya msingi boko na Mtambani kwa mawasiliano piga 0786 219185 na 0715 510981 dalali haitajiki
Next Post Previous Post
Bukobawadau