Bukobawadau

PICHA YETU YA LEO MKURUGENZI WA LINAS NIGHT CLUB NDANI YA OLD TRAFFORD JIJINI MANCHESTER

Mdau Mtensa  akifuatilia soka ndani ya Uwanja wa Old trafford jijini Manchester
Kitu live baina ya Brazil na Belarus ni mambo ya Olympic London 2012 hakika ni historia juu ya historia ikiwa kufika London ni swala jingine na kushuhudia Olympic ni issue nyingine!!
Mpambaji Mdau Mtensa katika kutaka kujua mabadiliko zaidi tunaamini  upo katika kujifunza mambo mbalimbali
 Heka heka za kuingia Old trafford.

NI BUKOBAWADAU WADAU NA WADAU !!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau