Bukobawadau

TASWIRA YA WADAU WAKIPATA KAHAWA USIKU WA JANA KIJIWE CHA USWAHILINI BILELE MJINI BUKOBA

 Wanaonekana mzee Abdallah na Mzee Nsubuga meya wa kwanza wa halmashauri ya Bukoba hoja iliopo mezani ni swala la Malawi na mpaka wa ziwa Nyasa!!
 Mdau Abdallah na Uncle Hemed Mkala  kama walivyokutwa usiku wa jana wakiwa kijiweni wakipata kahawa na kubadilishana mawazo...
 Kijiweni hapa maongezi makubwa ni vyama vya siasa,maswala ya Sensa na kauli za sheikh mkuu, hoja ya Mh Wenje na kazi za wakuu wa wilaya sambamba na mauaji ya wafanyakazi wa migodini nchini Afrika ya kusini.
 Al amin Abdul akiperuzi kwa simu yake ya mkononi
 Sehemu ya wadau kulia ni OMG Ali Kikwemu akipata kahawa
 Mzee Abdallah King kushoto na Mzee Muhamed Magimbi huyu mzee kingi ndiye mzee pekee aliyebaki akiendelea kuonekana vijiweni mara kwa mara.
 Aliyesimama ni mmiliki na mfanya biashara wa kahawa kijiwe hiki
Hakika hivi ndivyo camera yetu ilivyo mulika kijini hapa na haya ni maisha ya kila siku ya wadau hawa kila baada ya shughuli zao !!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau