Bukobawadau

VIBAKA WAZIPIGA LIVE BAADA YA KUKINGANA KIMAWAZO!!!!

Camera yetu  mitaa ya One way bukoba , nakumbana na jamaa wakipeana kichapo ile mbaya
Taarifa rasmi zinadai wote hao ni wezi wameiba mziga ila ata kabla hawajauza na kugawana pesa(mkwanja,noti, mapene,mpunga,ruzuku,ruzuku)wakachefuana na kuanza kupeana(kutupiana) makonde hadharani
Baada ya dakika chache kibaka  huyu alisimama na kwenda zake tena akidunduka KIBAHARIA kama sio yeye aliyedundwa nusu kufa.
Kisa cha vagi lote ilo ni huu mzigo inasadikika uliibiwa kutoka kutoka DIAMOND SHOP kwa Mdau' Kamu'  Kamugusha na jamaa wakapigana na kujikuta mzigo wanauacha hakika BANG ni mbaya!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau