Bukobawadau

WAISLAMU WAANDAMANA BUKOBA KUSHINIKIZA WENZAO WALIOKAMATWA KWA KUKATAA KUHESABIWA SENSA

 Nje ya Viwanja vya Mahakama kuu waislamu wakiendelea na Swala
 Waumini wa kiislam  wa Mjini BukobA wakiendelea na swala  ya dhuhuri nje ya viwanja vya mahakama kuu walipoandamana kushinikiza  kuachiwa kwa wenzao waliokamatwa kwa kosa la kukataa kuhesabiwa Sensa

 Mwonekano wa jengo la Mahakama Kuu ya Mjini Bukoba
 Katika kuishinikiza kuachiwa huru kwa wenzao waliokamatwa.
 Sehemu ya waandamanaji wa Kiislamu
 Maandamano yakiendelea  baada ya wenzao kudhaminiwaNext Post Previous Post
Bukobawadau