Bukobawadau

BREAKING NEWS!!!KUTOKA KEMONDO WAWILI WAKAMATWA WAKIWA KATIKA MCHAKATO WA KUCHUNA NGOZI ZA WATOTO,WACHOMWA MOTO NA RAIA


Watu wanaodhaniwa kuwa ni wachuna ngozi wamechomwa moto mjini kemondo nje kidogo ya mji wa bukoba,wananchi waliamua kuchukua hatua hiyo kali ya kuwaondolea uhai baada ya kudai kukutwa wakifanya jaribio la kuchuna ngozi watoto,nguvu ya polisi haikufua dafu mbele ya wananchi hao wenye hasira kali na kupelekea mauti yao.
Next Post Previous Post
Bukobawadau