Bukobawadau

CLOUDS MEDIA GROUP WATOA MISAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA, TANGA


 Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia
kilichopo Raskazone, Tanga akimkaribisha Afisa Mahusiano wa Clouds
Media Group Simalenga Simon wakati alipoiongoza timu nzima ya
Serengeti Fiesta 2012 kutoa misaada katika kituo hicho.
 Watoto Yatima wa kituo cha Casadella Gioia wakiwakaribisha
wageni kwa kuwaimbia wimbo.
 Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego akiwakaribisha wageni
mara baada ya kuungana na Watoto Yatima wa kituo Casadella Gioia mara
baada ya timu nzima ya Clouds Media Group kutembelea kituo
hicho.
 Msanii wa Kizazi Kipya, Juma Nature akiwa amebeba moja ya mizigo
iliyotolewa.
 Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia
kilichopo Raskazone, Tanga akipokea misaada kwa Afisa Mahusiano wa
Clouds Media Group Simalenga Simon (wakiwa wameshikana Mikono)
katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego.
 Wakiwa katika picha ya pamoja na wageni waalikwa.
 Wasanii waliotembelea kituo hicho.
 Mkuu wa Kituo cha Watoto Yatima kiitwacho Casadella Gioia
kilichopo Raskazone, Tanga akiwakaribisha wageni.
 Watoto wakisikiliza kwa makini.
 Afisa Mahusiano wa Clouds Media Group Simalenga Simon akieleza
machache kabla ya kukabidhi misaada yao.
 Msanii wa Kizazi Kipya Gonzila akieleza machache mbele ya wageni.
 Msanii wa Kizazi Kipya, Juma Nature akitoa machache.
 Baadhi ya viongozi wa Kituo hicho walipoungana na watoto
kuwapokea wageni.
Kiongozi wa Watoto akiwatambulisha wenzake wakati walipotembelewa na
Timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012 ilipotembelea kituoni kwao.
Next Post Previous Post
Bukobawadau