Bukobawadau

TIMU KAGERA SUGAR YASHINDWA KUUTUMIA VYEMA UWANJA WAKE WA NYUMBANI YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA JKT ORJORO

Kikosi kamili cha timu ya Kagera Sugar kilichoshidwa kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani hii leo na kutoka sare ya bila kufungana na  JKT Orjoro
Wachezaji wa JKT Orjoro wakisalimiana na Mgeni Rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Misenye
 Manahodha wa timu zote mbili wakisalimiana na waamuzi kabla ya kuanza kwa mchezo.
 Picha ya pamoja kati ya waamuzi wa mpambano huu na manahodha.

 Katikati ni msemaji wa Kagera Sugar ndg Yahya.
 Mtanange ukiendelea

 Mashabiki jukwaani wakifuatilia soka
Mtangazaji Abdulrazak Majid wa 88.5 Kasibante FM Radio akirusha matangazo


Next Post Previous Post
Bukobawadau