Bukobawadau

KAZI KWELI KWELI!!!!!!!!!

Chizi mmoja kapiga simu Milembe {hospitali ya wagonjwa wa akili.}
Simu ikapokewa na receptionist.

CHIZI:"Hallo,samahani chumba namba 17 kuna mtu?"

RECEPTIONIST:"Subiri kiasi nikaangalie."

CHIZI:"Sawa...nangojea."

{Aliporudi}


RECEPTIONIST:"Nimekwenda kuangalia hakuna mtu,kwanini umeuliza hivyo?"

CHIZI:"Nilitaka kuhakikisha kama nimetoroka kweli au bado nipo humo ndani!"
Next Post Previous Post
Bukobawadau