Bukobawadau

MIKASA NA STORY KUTOKA VYANZO VYA WADAU

Timiza WAJIBU wako popote ulipo halafu HAKI ifuate KIJANA mwenzangu....AMINI,kwa MATENDO YAKO,ipo siku UTAWAJIBIKA!
 Kutoka katika page ya Pro Anna Tibaijuka hii ni picha ya mtoto wa darasa la saba aliyekamatwa amejijaza majibu mapajani kwenye mitihani yao yahivi majuzi!!
 Picha ya Wasanii maharufu nchini  Linah ,Diamond na Recho yazidi kuzua tafrani ,anaonekana Diamond ameshika Nyonyo za wadada hawa wakiwa wametupia nguo za kuogelea...



Next Post Previous Post
Bukobawadau