Bukobawadau

MSANII ISSA KYAMANI WA BANANA ARTS GROUP KEMONDO AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa msanii wa filamu wa Kemondo Ndg Issa Kyamani pichani afariki dunia hii leo baada ya kuugua kwa muda mfupi,Marehemu Issa alishiriki kwenye filamu mbalimbali  ikiwa ni pamoja na  "SIRI YA MAMA"iliyompatia umaarufu mkubwa
 Msiba umetokea nyumbani kwa marehemu eneo la railway kemondo
 Maremu ameacha mjane pichani na mtoto mmoja.
 Waombolezaji na wafika
 Rafiki mkubwa wa marehemu Ndg Issackakiwa nav huzuni .
Wadau wa tasnia ya filamu mjini hapa
 Waombolezaji wakiwa katika hali ya simanzi
 Sehemu ya wadau waliofika kuwafariji wafiwa
Mwili wa marehemu ukipakizwa kwenye gari tayari kwa safari ya kuelekea kijijini Bulila kwa mazishi

Mwanzo wa safari ya Bulila umbali wa km chache kutokea Kemondo.
Muda mchache baada ya mwili wa marehemu Issa kifikishwa kijijini Bulila
Mwili wa marehemu Issa kabla ya kusaliwa na waumini wa kiislam.
Marehemu akisaliwa kabla ya maziko
Shughuli ya mazishi yaliyofanyika kijijini Bulila Kemondo

shughuli ya mazishi ikiendelea

Sheikh akisoma dua
Sheikh akitoa mawahidha baada ya mazishi na wwasifu wa marehemu

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

Next Post Previous Post
Bukobawadau