WAUMINI WA KIKATOLIKI WAHUDHULIA KWA WINGI HIJA KWA BIKIRA MARIA NYAKIJOGA LEO 28/1O/2012 Leo
Maefu ya waumini wa kikatoliki wameshiriki Ibada ya Hija ambayo ni safari ya Imani afanyayo muumini kwenda mahala patakatifu kwa
ajili ya sala,ibada na manufaa ya kiroho.Imani inaifanya safari ya hija
iwe tofauti na na safari nyinginezo,kama vile utalii,mandari au
matembezi tu.
Hija humfanya mtu abadili mwenendo wake wa maisha na kusogea karibu na na Mungu
Baba Askofu Nestory Timanywa aongoza mahujaji kwa kuwataka waumini kudumisha amani na mshikamano.
Askofu Msaidizi Method Kilaini katika Ibada ya hija.
Maandamano ni sehemu muhimu katika Ibada ya Hija.
Anaonekana mbele Monsr.Gosbert Byamungu ambaye ni msimamizi wa kituo hiki cha Hija Mugana Nyakijoga ambaye amepewa jukumu la kukifanya kiwe cha kimataifa.
Monsr.David Mbiligi, Monsr. Deogratiaus pamoja na Monsr. Justinian Bamanyisa wakiwa katika maandamano.
Kupata maji ya baraka
Waumini wakiwa katika mstari wa kuelekea kupata maji ya baraka
Muonekano wa maelfu ya wahumini wa Kikatoliki katika Ibada ya Hija Nyakijoga Mugana
Wadau wakishiriki Ibada ya Hija
Ndg Philbart Nyerere na mkewe.
Mzee John Kimburu akijinafasi baada ya Ibada
Mdau Hedrick Mulima mmoja wa waumini aliyetajwa kama mtu muhimu katika kuchangia Kanisa.
Biashara za wajasiliamali zikiendelea.
Pitapita za hapa na pale katika mabanda ya Biashara
Mdau Mama Stella pichani
Waumini katika hali ya usikivu
Full hekaheka za hapa na pale.
Sehemu ya wadau wa Kolping
Wanaonekana wadau wakibadilishana mawazo na Father, pia yupo Mr &Mrs Joshua Kyalukamba
Mabadiliko katika mabanda yanayomilikiwa na kanisa
Muonekana mpya wa eneo hili la Nyakijoga
Hali ya usafiri kuelekea Nyakijoga Mugana.
Mwendo wa kushika ili usianguke....!!
Mwisho wa siku wameonekana waumini wengi wakitekeleza Hija kwa kutembea kwa Miguu umbali mrefu.
Wakati huo Parokia ya Mugana ilikuwa ikijiandaa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu ilipoanzishwa. Jubilei ilikuwa iadhimishwe mwaka 1955. Kituo hiki cha Hija kilianzishwa kwa madhumuni ya kushiriki kiroho katika maadhimisho ya Jubilei ya miaka 100 tangu tamko rasmi la Kanisa, la mwaka 1854, kuwa ni nguzo ya imani kwamba Bikira Maria aliumbwa bila dhambi ya asili. Vilevile, mwaka 1958 kuliadhimishwa Jubilei ya miaka 100 tangu Bikira Maria mwenyewe alipomtokea msichana Bernadeta Subiru huko Lurdi Ufaransa mwaka 1858 na kujitambulisha kuwa yeye ndiye “aliyeumbwa bila dhambi ya asili”
Kwa kujitambulisha hivyo Bikira Maria athibitisha ukweli ambao ulikuwa unakubaliwa na Kanisa katika mapokeo yake ya kawaida (Tradition), ambao ulitamkwa rasmi na Kanisa mwaka 1854.
Ili kuwawezesha waumini wote wa Jimbo la Rutabo la nyakati zile kushiriki kikamilifu, Mwashamu Laureani Rugambwa, alimwomba Baba Mtakatifu Pio XII awaruhusu wote watakao Hiji hapa wapate rehema za Jubileo hiyo kuu ya Lurdi. Baba Mtakatifu aliruhusu.
Hija humfanya mtu abadili mwenendo wake wa maisha na kusogea karibu na na Mungu
Askofu Msaidizi Method Kilaini katika Ibada ya hija.
Maandamano ni sehemu muhimu katika Ibada ya Hija.
Monsr.David Mbiligi, Monsr. Deogratiaus pamoja na Monsr. Justinian Bamanyisa wakiwa katika maandamano.
Kupata maji ya baraka
Waumini wakiwa katika mstari wa kuelekea kupata maji ya baraka
Muonekano wa maelfu ya wahumini wa Kikatoliki katika Ibada ya Hija Nyakijoga Mugana
Wadau wakishiriki Ibada ya Hija
Ndg Philbart Nyerere na mkewe.
Mdau Hedrick Mulima mmoja wa waumini aliyetajwa kama mtu muhimu katika kuchangia Kanisa.
Biashara za wajasiliamali zikiendelea.
Pitapita za hapa na pale katika mabanda ya Biashara
Mdau Mama Stella pichani
Waumini katika hali ya usikivu
Full hekaheka za hapa na pale.
Sehemu ya wadau wa Kolping
Wanaonekana wadau wakibadilishana mawazo na Father, pia yupo Mr &Mrs Joshua Kyalukamba
Mabadiliko katika mabanda yanayomilikiwa na kanisa
Muonekana mpya wa eneo hili la Nyakijoga
Hali ya usafiri kuelekea Nyakijoga Mugana.
Mwendo wa kushika ili usianguke....!!
Mwisho wa siku wameonekana waumini wengi wakitekeleza Hija kwa kutembea kwa Miguu umbali mrefu.
MWISHO NI HISTORIA FUPI YA NYAKIJOGA
Kituo hiki kilianza 1954 kama kituo cha Hija cha Parokia ya Mugana.Wakati huo Parokia ya Mugana ilikuwa ikijiandaa kuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 tangu ilipoanzishwa. Jubilei ilikuwa iadhimishwe mwaka 1955. Kituo hiki cha Hija kilianzishwa kwa madhumuni ya kushiriki kiroho katika maadhimisho ya Jubilei ya miaka 100 tangu tamko rasmi la Kanisa, la mwaka 1854, kuwa ni nguzo ya imani kwamba Bikira Maria aliumbwa bila dhambi ya asili. Vilevile, mwaka 1958 kuliadhimishwa Jubilei ya miaka 100 tangu Bikira Maria mwenyewe alipomtokea msichana Bernadeta Subiru huko Lurdi Ufaransa mwaka 1858 na kujitambulisha kuwa yeye ndiye “aliyeumbwa bila dhambi ya asili”