HOJA YA LEO; MASWALA MAKUBWA YA KUJIULIZA KWA WADAU WA CHADEMA
=> Ikitokea CHADEMA ikashinda ktk uchaguzi mkuu (G.E) 2015 na kukamata dola ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Chama Cha Mapinduzi "CCM" kikashinda kwa upande wa Zanzibar. Je; "Serikali ya CHAMEMA (bara) itakuwa tayari kufanya kazi na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya huu Muungano wetu au Muungano utavunjika ili kauli na mtazamo huu upate nafasi ya kuonekana ulikuwa sahihi?"
=> Ni mtazamo tu. Nomba majibu stahiki huku tukitambua wazi kwamba kutambulika kikatiba kwa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kama sehemu ya baraza la mawaziri ktk serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni moja ya udhibitisho wa mseto.