IBADA YA JUMAPILI HII KATIKAA KANISA KATOLIKI MJINI KAHAMA
Bango la kanisa katoliki Jimbo la kahama.
.Muonekano wa Jengo la kanisa kwa nyuma
Padre akiendelea na Ibada
Mzee James Lugakingira mmoja wa waliohudhulia Ibada.
Ibada ikiendelea kanisani
Wapokeaji madhubutu kimatendo
Ni muda wa kutoa sadaka
Kitendo kinacho endelea ni utoaji wa sadaka, ni matoleo yanayotolewa na mwanadamu kwa maana ya kumrudishia MUNGU wake kama anavyo onekana Mdau Mzee James pichani
Mtoa matangazo akiwatangazia mambo ya msingi waumini wa kikatoliko kanisani.
Baada ya Ibada Soster akielekea katika Ofisi ya Parokia.
Ni kanisa la muda mchache toka lijengwe yapata mwaka mmoja hivi.