Bukobawadau

MABIBO BEER WINES&SPIRITS LTD WASHUSHA BURUDANI YA WINDHOEK BEER NA EXTRA BONGO WILAYANI KAHAMA

Wanenguaji wa Extra Bongo katika utayari kupiga show
Super Nyamwela akiongoza show na Kiongozi wa Extra Bongo Ally Choki.
Safu ya wanenguaji wa kiume wakiongozwa na Nyamwela katikati
Robart mwili mtamu aka Rick Ross
Rama Pendagon aka 'swahiba'
Katika hil na lile mambo yanayojili katika ukumbi wa Social Club
Mjini kahama maduu wakicheck na Camera yetu.
Camera yetu ikicheck muonekano wa wadau wa Kahama (dry port )
Katika hili na lile mdau akibofya simu yake kuona kuakikisha kama ataonekana live ndani ya bukobawadau blogspot.
'Akisebeneka' kwa mtindo wa kunywa Windhoek
Naam Ally Choki!!
Rapper mkali mtoto wa Kihaya kaanzia kwa 'Rushuli' akaja 'three  Boys akitumbuiza maeneo ya Space Beach na Q Bar kabla ya kuamia Kakau Band na kuchukuliwa na Extra Bongo
Katikati ni Mshauri wa Kampuni ya Mabibo Beer,Wines&spirits Ltd katika picha ya pamoja na wanamuzi na wadau wa Windhoek , kushoto kabisa ni Muimbaji Banza Stone
Wadau na mashapiki wa Windhoek Beer na Extra Bongo music Band wakishow love na kinywahi cha Windhoek kinachosambazwa kote Nchini na Kampuni ya  Mabibo Beer wa jijini Dar es Salaam.
Mashabiki na wadau wa Extra Bongo na Windhoek wakifurahia mzigo wa windhoek baada ya kununua 4 kwa sh10000 na kupata 2 free,katika promo maalumu inayoendelea  mpaka mwezi wa 12 mwishoni.
Banza Stone baada ya kuwachengua mashabiki wa Kahama na Wimbo wake wa 'Mtaji wa Masikini'
Mzee Ally Choki kazini.
Mpiga Dram Martin Kibosho
Dance wa Nyamwela  akionyesha maujanja .
Kushoto ni Mkurugenzi wa Mabibo Beer, Wines &Spirits Ltd, Mzee James Lugemalira akifuatilia show babu kubwa ya Extra Bongo
Mdau wa Windhoek kushoto katika picha ya pamoja na wapenzi na mashabiki wa Extra Bongo na Kinywaji cha Wondhoek
 Wanadada wa Kampuni ya Mapipo wa show love na kinywaji cha Windhoek kinyaji kinachosambazwa kote Nchini Tanzania na Kampuni ya Mabibo Beer.
 Anaonekana Meneja Mauzowa  Mabibo Beer Criss akiteta jambo na Mdau Daudi wa Kampuni ya Mabibo Beer wanaondeleza mpango mzima kwa wateja wa bar  (4 bottles x 2500@=10,000/=2 bottles Free.
 Hivi ndivyo wadau Wilayani kahama walivyo kipokea kinywaji hiki cha Windhoek
 Kivingine kabisa Mwanamziki muimbaji wa Extra Bongo,  Rama Pentagon akiwachengua mashabiki pale alipo lichalaza solo.
 INAENDELEA
Mzee James Lugemalira kulia picha ya pamoja na mpenzi wa Kinyaji cha Windhoek
Anaitwa Renock aka Sura ya mauzo.
Mdau katika picha ya pamoja na mshauri Mr Kamala.
Ally Choki anakwambia tumia Climax kinywaji kisicho na kilevi.
MASANJA BANZA STONE aka Makaveli
Wadau wa Windhoek  Lager wakiendeleza makamzi yao.
Mambo yanapo pamba moto kila mtu upata la kusema kama anavyo onekana Mgangawandele (kulia)
Shabiki wa Extra Bongo akimwaga mauno
Uitoa ten, unapata 4 na 2 za nyongeza na nimuendelezo mpaka X-mass.
Rapper Kabatano.
Martin Kobosha katika Dram
Mtikisiku wa sebene ndani ya Social Club
Mzuka ukiwapanda mashabiki wa Extra Bongo
Hakika ni burudani kwa kwenda mbele

Wadau 'wakichenkula' ile mbaya..!!
SHUKRANI KWAKO MDAU KWAKUENDELEA KUFUATILIA LIBENEKE LA BUKOBAWADAU, ENDELEA KUFURAHIA WINDHOEK NA CLIMAX AMBAO NI SEHEMU YA WADHAMINI WETU NASI TUNATOA USHIRIKIANO KWAO!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau