Bukobawadau

MAGIC FM NA DTV WAFUNIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA LEO KATIKA UZINDUZI WAO KWA UDHAMINI MKUBWA WA WINDHOEK BEER KINYWAJI SAFI KINACHOSAMBAZWA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER TANZANIA.

Burudani kali ikiendelea jukwaani mchana wa leo kutoka kundi la Windhoek Beer ikiwa ni uzindizi rasmi wa  Magic Fm na Dtv ambayo Kampuni ya Mabibo Bia wasambazaji wa Windhoek Beer ndio wadhamini wakubwa.
Burudani ikiendelea.
Mc Mgangandele kutoka kampuni ya MABIBO BEER katika kuwajuza mashabiki ubora wa Kinywaji hiki cha Windhoek.

Jukwaani mwenye kipaza kulia ni Msanii Sanura akiwapagawisha mashabiki na mambo ya  Windhoek
Kushoto ni msanii Dogo Janja akiwapagawisha maelfu ya watu katika uwanja wa Jamhuri ambapo Magic FM na DTV walikuwa wakizindua rasmi kwa udhamini wa Windhoek kichwaji kilicho bora
 Mc wa uzinduzi huu kutoka Windhoek maharufu kwa jina la Mgangandele akiwajulisha mashabiki kwamba bei ya kinywaji hicho ni 2500 tu kwa nchi nzima.
 Wanaonekana Vimwana wa Kinywaji Safi Cha Windhoek wakiwa tayari kuwahudumia Wateja  katka uwanja  wa Jamhuri Mjini Dodoma katika uzinduzi wa Magic Fm na DTV mchana wa leo 3/11/2012.
Baadhi ya Watangazaji wa DTV na MAGIC wakifurahi na Windhoek Beer hii leo katika uwanja wa Jamhuri Dodoma.
 VINYWAJI AINA YA WINDHOEK TAYARI KWA KUUZWA TSH 2500 TU!
 Wanenguaj wa Band ya Extra Bongo wakifurahia show ya uwanja ya uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma huku wakiwa wamevalia Tshirt za Windhoek Beer ambao ni wadhamini wa tamasha hili la uzinduzi wa Magic Fc na Dtv.
 Vimwana wa Extra Bongo wakicheck na Camera yetu uwanja wa Jamhuri Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizindua rasmi Magic Fm na Dtv Mjini Dodoma
  Pichani si mwingine ni Msanii wa hiphop, Cheka Hijja, maarufu kama BIBI cheka wanavyomfahamu  mashabiki wa bongo fleva akiwa jukwaani hii leo Mjini Dodoma katika kolabo na Msanii Dogo Asley.



Umati mkubwa uliofurika uwanja wa Jamhuri kushuhudia uzinduzi wa Magic Fm na Dtv chini ya udhamini mkubwa wa Windhoek Beer.
 Maelfu wakifuatilia mtiririko wa Onyesho hili la aina yake mjini Dodoma.
 Anaitwa Bibi Cheka akiwajibika jukwaani, Pembeni ni Msanii Dogo Asley.

Msanii mwenye sauti ya aina yake PNC akifanya yake ndani ya Uwanja wa Jamhuri  mjini Dodoma katika uzinduzi wa Magic FM na DTV .
 Ni shangwe juu ya shangwe,kitu baada ya kitu.Chini ya  Udhamini wa Windhoek Beer.

KUMBUKA UZINDUZI HUU UNAENDELEA USIKU WA LEO NDANI  YA CLUB LA ZIZI MJINI DODOMA NA MPANGO MZIMA NI  BIA YAKO YA WINDHOEK INAYO UZWA KWA SHILINGI 2500 TU KOTE NCHINI CHINI YA  KAMPUNI YA MABIBO BEER TANZANIA YOTE NA BAND YA EXTRA BONGO ITATUMBUIZA!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau