Bukobawadau

MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MSANII SHARO MILIONE MCHANA HUU

Ingawa nivigumu kuamini Mwili wa marehemu Sharo Millionea ndio umelala humu.
Wanaonekana baadhiya wasanii mssibani hapa
sehemu ya waombolezaji

Mama Yake Hussein Sharo Millionea Akilia Kwa Uchungu

Meneja wa Sharo anayejulikana kwa jina la HK akizungumza
Next Post Previous Post
Bukobawadau