Bukobawadau

NI MTIKISIKO WA AINA YAKE MAPOKEZI YA MA-HAJI WAWILI NA HAJAT MMOJA KATIKA FAMILIA YA ALHAJ ABBAKARI GALIATANO WA MJINI BUKOBA.

 Alhaji Sadick Galiatano akipongezwa na ndugu jamaa na marafiki mara baada ya kurejea ndani ya manispaa ya bukoba
 Umati wa watu ulikua mkubwa mno uliojitokeza kuwapokea mahujaji
Ndugu jamaa na marafiki wakiwapongeza mahujaji
Haji Nuru Galiatano mwenye kanzu na kiremba kushoto ni mkewe mama Nurat,wakishangiliwa kwa furaha 
 Kutoka kulia ni Ramadhani kambuga, Alhaji Nuru Galiatano, Salum Galiatano(Sir.loom INC) na mama Nurath
 Hajati mama Zaituni akiwa na mwanae Bashiri Isack Galiatano 
Kutoka kushoto ni Haji Nuru Galiatano,Khalidi Galiatano,Issack Galiatano,Zamda Ismail na Haji Sadick Galiatano wakiwa wenye nyuso za furaha 


 Wadau mbalimbali walijitokeza kuwapokea mahujaji hawa


 Anaonekana Mdau Kyejuz kwa nyuma kushoto,Hamza Yunusu,katikati ni Haji Nuru Galiatano , akifuatiwa na kaka yake Mkubwa Mzee I ssack Suleiman Galiatano na Mdau Salum(kapara) Organizer  pia nyuma yupo Badru na Khalid
Ni full taflani uwanjani, watu ni wengi kweli na inapendeza sana.
Majid Yusuph hakuwa nyuma katika kuwapokea mahujaji kikamilifu

Mwanalibeneke Faraji akichukua matukio

Haji Nuru Galiatano
Ramadhani Kambuga RMK  akiendesha  gari lililobeba mahujaji pembeni ni Alhaji Sadick Galiatano
 Bukoba city center 
Msafara kuelekea nyumbani kwa mzee Alhaji Abubakari  Galiatano
Dua ikiombwa kuwakaribisha mahujaji baada ya kuwasili




 


Wanamama kwa pamoja ni ndg wa familia ya Mzee Galiatano
Sakina nae alikuepo
 Action Time


 Dua ikiombwa nyumbani kwa Alhaji Sadick Galiatano Majengo Mapya
 Alhaji Nuru Galiatano akitoa historia fupi kuhusu maisha yao walivyokua makka
 Alhaji Nuru Galiatano akipongezwa maraa baada ya kutoa story fupi kuhusu maisha yao walivyokua makka


Ma-haji katika picha ya pamoja wakishiriki kukata kuku,ni historia nyingine katika maisha yao kutimiza hadhima ya nafsi zao kwa pamoja na kwa wakati mmoja.


Alhaji Abubakari Rajabu Galiatano akiwa ni mwenye furaha baada ya kuwapokea wanae salama salmini mara baada ya kutoka kuhitimisha nguzo ya Tano ya uislamu ambayo ni kuhiji katika mji wa makka.

BUKOBAWADAU BLOG TUNAFURAHA KUBWA KATIKA KUWAPONGEZA MA-HAJI WETU NA HAJATH NA TUNA declare interest KWANI HAWA NDIO WAZAZI WETU  WAPENDWA,NA KWA NIABA YA MC BARAKA GALIATANO NA SALUM GALIATANO (SIR.LOOM INC) TUNAWAOMBA WADAU KUTOA PONGEZI ZENU ZA DHATI WAPENDWA WETU KWA KUTEKELEDHA ADHIMA YAO  KWA PAMOJA
"ahsante"



Next Post Previous Post
Bukobawadau