Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Camera yetu hii leo mtaani inakutana na Mdau  Eddy Kay T  kutoka pande za Wachita, Kansas  anakoendelea na masomo yake, Pichana anaonekana akisalimiana na Mdau  Mac Dommy wa kampuni ya Voucher Center  iliyopo mjini hapa.
 Mdau Eddy Kay T ukipenda waweza muita Edwin Kaiza pichani akisalimiana na Mmoja wa Walimu  aliopitia  mikononi mwake .
 Mshikaji Mohammed pichani kulia  akiwa na rafiki  wake wa karibu Ndg Abdul Avit  na mkewe Bi Hidaya.
 Mdau Abdul Avit katika picha ya Pamoja  na Mkewe Bi Hidaya  ikiwa ni muda mchache baada ya ndoa yao iliyofanyika usiku wa Jana.
 Sehemu ya matukio katika shughuli ya ndoa ya Mdau Abdul Avit iliyofanyika nyumbani kwao Bi harusi Bi Hidaya mzaliwa wa Custam -Bakoba.
 Shughuli kukamilika  lazima msosi uhusike kama inavyo onekana pichani washirika wakipata Chakula.
Next Post Previous Post
Bukobawadau