Bukobawadau

CAMERA YETU USO KWA USO NA WADAU PANDE ZA CHICHI HOTEL JIJINI DAR



Chichi hotel wanatoa huduma ya kukodisha gari kwa ajili ya maharusi.
CHICHI HOTEL Located in Dar es salaam, Kinondoni district along side Kawawa Main road, Chichi hotel remains the ideal resort. Equiped with all necessary facilities like Restaurants, Car parking, Seminar & Conference room, Function hall and Luxurious rooms ranging from Executive to Delux, equiped with Full time internet service, Telephone,20 TV channels, Security Self lock and all what is necessary for a person to get relaxed.
 Muonekano wa baadhi ya vyumba ndani ya Chichi hotel
Executive RoomThe rooms of the First class at our Hotel, provided with all facilties to make a you feel comfortable........
Ni wadau wakifanya yao ndani ya Chichi Hotel iliyopo kinondoni B  Jijini Dar es salaam.
 Muungwana Mdau Christopher Chichi Nyamwihula akiwakaribishia wadau wanaozidi kuingia hotelini hapo.
Mara akaingia Mdau Ben Mulokozi  mtu safi mtu wa watu.
 Wadau wana Lugoye wapenda maendeleo Mkoani Kagera waliofika kusalimiana na mwanajamvi wa Bukobawadau Blog Mc Baraka mara tu baada ya kupata habari juu ya uwepo wake Jijijini Dar es salaam
Wadau wakiwa wamefika hotelini hapo kusalimiana na mwanalibeneke wenu wakibadilishana mawazo.
 Ndani ya Chichi hotel sehemu ya mapokezi nakutana na Bi Mwajabu.
 Chichi hotel inao ukubwi mkubwa wa harusi, sherehe na semina mbalimbali, hii ni moja ya harusi iliyofanyika siku ya jana hotelini hapo.
 Bwana harusi Ndg Peter na Bi Otilia katika picha ya pamoja na ndg wa karibu wa familia kama walivyo ombwa kujipanga na mwana libeneke wenu.

MUONEKANO WA UKUMBI WA HARUSI WA CHICHI HOTEL
 Maisha yakiendelea wakati wadau wanabadilishana mawazo.
 Kushoto ni mzee matambula akijaribu kubabadua baadhi ya hoya kuhusiana na tamaduni zetu.
Upande wa pili anaonekana mdau Bekatise Tinka akiwasiri hotelini hapa.
 Mmoja wa wadau katika hili na lile.
Vile wadau wakicheck nav Camera yetu

Next Post Previous Post
Bukobawadau