Bukobawadau

TASWIRA YA MAZINGIRA YA HOSPITAL YA MUGANA HII LEO


Camera yetu ikiangaza katika Hospitali ya Mugana iliyopo  Wilaya ya Missenyi,Hospitali ya Mugana inayomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba

Baadhi ya majengo ya hospitali hii kubwa ya Mugana, yenye shule ya wakunga wasaidizi na fani nyingini
Kuingia ndani ya Jengo la utawala la hospital ya Mugana.
Sehemu ya majengo ya hospitali teule ya Mugana
TaswIra ya mazingira safi na ya kihistoria yaliyo izunguka hospitahi hii ya MUGANA
Camera yetu ikiendelea kuangaza katika wodi wa wagonjwa wanasumbuliwa na maradhi mbalimbali
Vyumba mbalimbali katika kutoa huduma ya upasuaji.
Usafi wa mazingira hakika uongozi wa hospitali hii unatakiwa pongezi

Lango kuu kuingia hospitali teule ya Mugana
Mabanda na maduka mbalimbali karibu na hospital hii ya Mugana.











Haya ndiyo mazingira ya Jikoni hospitali hapa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau