Bukobawadau

POLISI ZANZIBAR;HAKUNA FBI WALA HAKUNA ALIYEKAMATWA KWA MAUAJI YA PADRI

Polisi visiwani Zanzibar inedai hakuna vikosi vyovyote vilivyoingia Zanzibar kuchunguza kifo cha Padri na hakuna watu waliokamatwa kwa mauwaji ila ni watu wachache walikamatwa kwa kuhojiwa tuu na si vinginevyo.

 Hii imekuja mara baada ya taarifa kuzagaa kuwa kuna makachero wa FBI na wengine toka nchi jirani kuwa wako kisiwani Zanzibar na wauwaji wameshakamatwa ni taarifa za uwongo hasa zilipodai kuwa wauwaji wamekamatwa wakitoroka kwenda Kenya

source ITV.
Next Post Previous Post
Bukobawadau