TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama
Cha Mapinduzi katika kikao chake cha siku mbili Februari 10 na 11, 2013
kilichofanyika mjini Dodoma, pamoja na mambo mengine kimeridhia uteuzi na
kufanya uchaguzi wa Wajumbe 14 wa Kamati Kuu yake.
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM
imeridhia uteuzi wa Dokta Salim Ahmed Salim kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu
kupitia nafasi 10 za uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM.
Wajumbe 14 waliochaguliwa kuwa
wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ni:-
Wajumbe wa Kamati Kuu
- Bara
1. Ndugu Pindi Chana
2. Ndugu Adam Kimbisa
3. Ndugu William Lukuvi
4. Dokta Emmanuel Nchimbi
5. Ndugu Jerry Slaa
6. Profesa Anna Tibaijuka
7. Ndugu Stephen Wassira
Wajumbe wa Kamati Kuu - Zanzibar.
1. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha
2. Ndugu Hussein Mwinyi
3. Profesa Makame Mbarawa Mnyaa
4. Dokta Salim Ahmed Salim
5. Ndugu Maua Daftari.
6. Ndugu Samia Suluhu Hassan
7. Ndugu Hadija H. Aboud
1. Ndugu Pindi Chana
2. Ndugu Adam Kimbisa
3. Ndugu William Lukuvi
4. Dokta Emmanuel Nchimbi
5. Ndugu Jerry Slaa
6. Profesa Anna Tibaijuka
7. Ndugu Stephen Wassira
Wajumbe wa Kamati Kuu - Zanzibar.
1. Ndugu Shamsi Vuai Nahodha
2. Ndugu Hussein Mwinyi
3. Profesa Makame Mbarawa Mnyaa
4. Dokta Salim Ahmed Salim
5. Ndugu Maua Daftari.
6. Ndugu Samia Suluhu Hassan
7. Ndugu Hadija H. Aboud
Imetolewa na:-
Nape Moses Nnauye,
KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA
ITIKADI NA UENEZI
12/02/2013