Bukobawadau

WADAU USO KWA USO NA CAMERA YETU

Mdau Henirietha  Buberwa katika pozi akicheck na Camera yetu.
 Mezani  Bi Henirietha akijumuika na wadau wenzake.
Mdau Edgar na Kijana Kamazima pia walishiriki meza moja na wadau ,pichani wakicheck na jicho la Camera yetu.
Mdau Ben Mulokozi mtu wa watu  akibadilishana mawazo na wadau wenzake muda mchache baada ya kujumuika nao.
Wanaonekana Mr &Mrs Avith wakiendeleza maisha na Mdau Ben kwa raha zao.
 Kushoto ni Mdau Musie Moses
Mrs Abdul Avith katika  picha  ya pamoja na Mdau Ben  Mulokozi a.k.a Binuzi.
Muhazi Albin na Kayunga Anthon wakicheck na macho yetu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau