Watalii 22 kutoka Uholanzi wafurahia huduma ya kiroyera Tours
Moja ya hotel ya kitalii iliyopo ngorongoro
Kampuni
ya Utalii ya KIROYERA TOURS imeandikiwa barua pepe ya kuwashukuru kwa
huduma na mipangilio mizuri ya watalii 22 kutoka uholanzi walioomba
huduma ya kampuni ya utalii ya kiroyera ya kuwaongoza kutoka msaka
uganda, Bukoba, malazi hapo Bukoba, meli kwenda Mwanza, safari kwenda
serengeti, ngorongoro, hadi Arusha wakiongozwa na Bw William Rutta
akijulikana sana kwa jina la Willy Kiroyera.
Mmoja wa wageni alisema Bukoba is very clean town compared to other town in Uganda!! hongera Mkuu wa mkoa kwa campaign ya usafi
Watalii
hao walikua na kampuni bingwa ya kutoka Uholanzi ambayo ina makao yake
Nairobi ikijulikana kwa jina la Baobab wakiwa na gari kubwa kitaaalamu
inajulikna kama overland truck yenye huduma zote ikiwa meza ndani ya
gari, flidge, store ya vyakula , mahema, majiko, maji nk.
Hujumbe
wao ulisema hivi ' We all loved good logistics and guiding of kiroyera
tours for last six days from uganda all the way to Bukoba, Mwanza and
great spot in Serengeti William is great guide Donkewell"
Pamoja
na hilo watalii hao walifutahia mji wa Bukoba kwa usafi na kuwa
kandokando ya ziwa linapamba mji wa Bukoba. Wakiwa Bukoba walifanya
walking tour na bicycle tour pia walilala katika
hotel inayomilikiwa na KCU inayojulikana Bukoba coorp hotell na hotel
nyingine ya Fios mimi. Tour hii ilianza tarehe 31 Jan na kumalizika
tarehe 8 ferb Arusha.
Kampuni
ya kiroyera tours inaomba sana wajasiliamali waliokuwa katika biashara
ya huduma kama vile guest house, hotel, bar, wasafirishaji kuajiri watoa
huduma wenye uwezo mzuri wa kuhudumia wateja ili wageni wakija katika
mji wetu waendelee kukaa kwa muda na hiyo itakuwa imechangia uchumi wa
mkoa wetu.
Kiroyera Tours
www.kiroyeratours.com
www.kagera.org
www.budap.org
http://www.facebook.com/pages/ Kiroyera-Tours-and-Consulting/ 171058592931255
http://www.twitter.com/ kiroyeratours
http://www.youtube.com/user/ kiroyeratours
www.kiroyeratours.com
www.kagera.org
www.budap.org
http://www.facebook.com/pages/
http://www.twitter.com/
http://www.youtube.com/user/
P.O. BOX 485
BUKOBA, KAGERA, TANZANIA
BUKOBA, KAGERA, TANZANIA
Tel: +255 28 2220203
Mobile: +255-784-568276
FAX: +255 28-2220009
Member of Tanzania Association of Tour Operator (TATO)
African Safari around Lake Victoria, Tour Operators, Travel Itinerary &
Booking Agents and Management Consultants
Mobile: +255-784-568276
FAX: +255 28-2220009
Member of Tanzania Association of Tour Operator (TATO)
African Safari around Lake Victoria, Tour Operators, Travel Itinerary &
Booking Agents and Management Consultants
Cultural tours in Bukoba, Rubondo Island, Kigoma lake Tanganyika
Chimpanzees, Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro,
Rafting on the Nile, Gorillas in Uganda and Zanzibar Island
Chimpanzees, Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro,
Rafting on the Nile, Gorillas in Uganda and Zanzibar Island