Bukobawadau

CHINI YA UDHAMINI WA WINDHOEK NGWASUMA WAKAMUA NDANI YA EAST 24 BAR& GRILL

Wanamuziki wa Bendi ya FM Academia Wazee wa Ngwasuma,chini ya Uongozi wake Prezidaa Nyoshi El Sadat (katikati) wakionyesha umahiri wao wa kuyarudi magoma wakati wa Onyesho lao la kutambulisha nyimbo zao mpya,lililofanyika usiku huu kwenye Kiota cha East 24,Mikocheni jijini Dar es Salaam.FM Academia wameangusha show babkubwa kwa wapenzi na Mashabiki wao walifika kwenye kiota hicho.Onyesho hili limedhaminiwa na Kampuni ya Mabibo kupitia bia yake ya Windhoek
 Katika anaonekana Kiongozi wa Bendi ya FM Academia,Prezidaa Nyoshi El Sadat akisebeneka sambamba na wenzake wakati wa onyesho hila kutambulisha nyimbo zao mpya.
 Kalala Junior katika kuwajibika
Wanenguaji wa FM ACADEMIA wakisababisha ndani ya East 24 Bar& Grill chini ya udhamini mkubwa wa Windhoek Lager.
Bi Sauda mmoja wa wadau wa Kampuni ya Mabibo Beer wasambazaji wa kinywaji cha Windhoek
 Prezidaa Nyoshi El Sadat (kulia) akionyesha umahiri wake katika uimbaji.
Next Post Previous Post
Bukobawadau