Bukobawadau

LIBENEKE NDANI YA CLUB LINAS NA MENGINE USIYO YAJUWA 1 MARCH,2013

Muendeleze wa Shangwe za weekend ndani ya Club linas ,kisima cha burudani mjini hapa Wadau wamejitokeza kwa wingi usiku wa huu Ijumaa 1march,2013,Pichani ni vile dada zetu walivyo jiachia kimavazi ni katika kasi ya kwenda na wakati.
Mwanadada Rey akifanya  yake kwa kubofya kilongalonga,wakati wadau wengine wakiendelea kuripuka na kusebeneka kutokana na kazi nzuri wanayo ifanya madj wa Club hii kiasi cha kuwa gumzo kote nchini.
USIYO YAJUA; ni pale wakati natupia picha hizi huku nikiperuzi vijiwe VINGINE, nakutana na Picha hii ndani ya JF  mdau mmoja akilalamika juu ya uvaaji wa dada zetu na wadau mbalimbali wakichangia na mmoja wa wachangiaji akisema;'kibaya zaid watu mtawapondaaaaaaa ila mwisho wa siku kila mmoja ni muhanga kwa nafasi yake kwenye jambo hili.
so far hapo ni usiku wametokelezea kwenye pati fulan ilitakiwa wavaeje kwani.'

KABLA MDAU MWINGIJE AJALETA MFANO WAKE NA PICHA,MWINGINE AKAFUNGUKA; Hapa shida ipo wapi jamani MACHO yale wapi? big up sisters, I would love this better if it was in youtube that I can see them vibrating, standing, kneeling then showing me their back too. Hii ndio inayoitwa dunia...tunapita tu...
 HUYU NA PICHA YAKE ANAOJI;'What is the big problem here??
Let them be bhana!! Kama wamependeza kwa hiyo occassion, ni wao, kama wametoka kama vibwengo ni wao!! Swala la maadili, dini, sijui nini - pelekeni huko tamaduni au maadili yenu mlikoyatoa, kama mlijibumbia wenyewe, basi bakieni nayo ninyi!!!

Kila mmoja na kile kinachomfaa yeye kwa wakati anaotaka yeye: Historia ya mavazi dhidi ya maadili ni complex zaidi ya tunavyotaka kuilezea kwa mifano michache inayotokana na mrengo wa watu fulani.

Next Post Previous Post
Bukobawadau