LILE TAMASHA LA PASAKA BAADHI YA WAIMBAJI KUTOKA KENYA, DRC WATUA DAR
Mwimbaji wa nyimbo za injili, Solomon Mukubwa akizungumza na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu maandalizi yake katika tamasha la
Pasaka 2013
Mwimbaji wa nyimbo za injili, Faraja Ntaboba akiimba kwa hisia moja ya nyimbo zake mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kwa siku ya jana.
Mwenyekiti wa Kamati Maalumu inayoratibu tamasha hilo la kimataifa, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu maandalizi ya tamasha hilo