Bukobawadau

MATUKIO MBALIMBALI YA MDAU MTENSA UGHAIBUNI

Mdau Mtensa pichana kushoto akiwa na Mdau Tumsime Bocko mara tu walipokutana jioni ya jana Uko Chicago.
 Mizunguko ya Mdau Mtensa bado inaendelea ambapo kwa siku ya kesho ataweza kuangaza pande za NEWYORK,kwa wadau mliopo maeneo hayo kwa wepesi anapatikana kupitia +126 7721 5819
 Ni wazi kabisa Mdau huyu pichani ugonjwa wake mkubwa ni magari tena ya kijanja
 Mdau Tumsime maarufu kwa kutumia aka kama 'Omutwale Mulahe'akiwa ame chill mbele ya kipandio chake.
Masikani kwa Mwnadada Nazimin Waziri mara tu alipomkaribisha mdau Mtensa.
Muonekano wa Viunga vya jiji la Chicago.
 Katika kushangaa shangaa moja ya jengo refu kuliko yote ndani ya Jiji la Chicago
 Baada ya misele na pilika za hapa na pale kifuatacho ni kupumzika tena kwa amani.
 Taswira ya nini cha kuboresha ndani ya Club Linas, Mdau yupo jikoni kama anavyo onekana pichani.
 Katika moja na 2,kila kitu kipo sawasawa!!Pongezi za kipekee kwako Mtensa kutoka kwa timu nzima ya Bukobawadau Blog.
 Makumbusho ya USA ,vyombo mbalimbali vya kihistoria.
 Kifaa cha kwanza walichokitumia wanasayansi kuelekea mwezini! Je wajuwa?
Ulaya ulaya tu, tayari mzee katakata ndani ya majuma mawili tu!!!
 Maswala ya fitness katika kile kinacho aminika ni upanuzi unao endelea katika eneo la Club Linas.
 Mdau akiendelea na mchakato.

KUPATA MATUKIO YA JANA AU YA MUDA MCHACHE ULIOPITA TUNAKUKUMBUSHA KUPITIA 'OLDER POST'KILA MWISHO WA UKURASA WETU, KUPATA UPDATE KUPITIA EMAIL YAKO JIUNGE NASI KWA KUWA FELLOW/MEMBER KWA KUJOIN NASI  PEMBENI KULIA MWA BLOG YETU.




Next Post Previous Post
Bukobawadau