Bukobawadau

NCHINI KENYA HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI;HUKUMU UCHAGUZI KENYA: Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza William Ruto walichaguliwa kihalali!

President Uhuru Kenyatta and Deputy President Sir. William Ruto.
ILE HUKUMU YA KESI YA UCHAGUZI KENYA: Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza William Ruto walichaguliwa kihalali, imesema Supreme Court ya Kenya katika hukumu iliyosomwa muda mchache uliopita. Jaji Mkuu Willy Mutunga amesisitize kwamba uchaguzi mkuu ulikuwa huru na wa haki.
Next Post Previous Post
Bukobawadau