Bukobawadau

SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU SARA SAID(MAMA SALIMA)JIONI YA LEO KAMACHUMU MULEBA

 Mjini kamachumu jioni ya leo Camera yetu katika mazishi ya Marehemu Sada Said /Mama Salima  aliyefariki usiku wa jana baada ya kuugua kwa siku tatu, Pichani anaonekana Mdau Chenche na Mdau Nurag wakihiriki katika mazishi hayo.

 Mdau Chuchu naye ameshiriki katika shughuli hii ya mazishi.

Mdau Yunusu Kambuga pichani (kushoto) Hamim na Haji Komgunda wakielekea makaburini

Mjini Kamachumu, muonekano wa Msikiti wa Ijumaa.
 Baadhi ya wadau wakisindikiza mwili wa Marehemu.
 Mwili wa Marehemu Mama Salima ukipelekwa makaburini mara tu baada ya kusaliwa
Mwili wa Marehemu ukipelekwa katika makaburi ya Kamilabara/ Kanoni yaliopo hapa Kamachumu




Mamia ya watu wamejitokeza kwa kushiriki mazishi ya Marehemu Mama Salima wa Kamachumu

 Mwalimu Abdallah King pichani
 Mwili wa marehemu Sara Said/Mama s





Mdau Mody mtoto wa Marehemu Mama Salima akiwa katika hali ya simanzi.


Anaonekana Mdau Murshid Sadiki.
BUKOBAWADAU BLOG ;Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wote wa marehemu Sara Said/Mama Salima,wenyezi mungu amuondolee adhabu ya kaburi amsamehe madhambi yake amkupe kauli safi siku ya Kiama
Inna lilah waina lilah rajuun!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau