WASHIRIKI THE MIC KING WAENDELEA KUTOANA JASHO DAR LIVE
Martin Fundi akiwaonyesha ‘walimwengu’ ujuzi wake.
Ni Lusajo Jackson huyo akitangaza kipaji chake.
Saidi Seif akifanya vitu vyake.
Miongoni mwao alikuwa ni Ally Zuberi.
Ilikuwa chereko kila mahali na kwa kila mtu.
WASHIRIKI kumi wanaoshindana katika shindano la kumtafuta mkali wa kurap -- The Mic King -- ambalo mshindi wake ataibuka na zawadi ya gari, jana waliendelea kukaliana kooni ndani ya ukumbi wa burudani na maraha Dar Live ulioko Mbagala-Zakhem, jijini Dar es Salaam kama inavyoonekana pichani juu.
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)
(PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)