Bukobawadau

BK TO DAR -UZINDUZI WA ALBUM ZA KAPOTIVE STAR SINGERS BUKOBA

Usikose uzinduzi wa album 2,Vol: 1-YESU NI MWEMA na Vol: 5 -NAKUSHUKURU MUNGU, tar. 5/5/2013, katika ukumbi wa Ubungo Plaza. Wakisindikizwa na waimbaji mahiri wa nyimbo za dini kama:- Kwaya ya Mt. Kizito- Makubuli, Kwaya ya AIC Chang'ombe, Upendo Nkone, KAKAU Band toka Bukoba, na Emmanuel Mugaya "Masanja Mkandamizaji". Kiingilio kitakuwa kama ifuatavyo: Single size ticket (mtu mmoja) -15,000, Family size ticket (Watu 4) -50,000, Special seats (Watu 5) 100,000, Watoto 5,000. Karibuni sana tumtukuze Mungu kwa nyimbo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau