BUKOBA YETU HII LEO
Katikati ya Mji wa Bukoba, habari kubwa ni Jimbo Katoliki Bukoba kumkaribisha askofu mpya Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Desderius Rwoma.
matukio kamili yanakufikia hivi punde kupitia bukobawadau blog.
Barabara Jamhuri mapema ya leo
Endelea kuwa na nasi kwa matukio zaidi ya kanisani
matukio kamili yanakufikia hivi punde kupitia bukobawadau blog.
Endelea kuwa na nasi kwa matukio zaidi ya kanisani