Bukobawadau

KAMACHUMU YETU NA MENGINE MENGI

  Ndani ya Mji wa kihistoria wa Kamachumu,Mji huu una historia ya kusisimua na mengine mengi kisiasa na kijamii.
 Leo tupo katika kuangalia na kupokea michango na mawazo yako mdau wasomaji kuhusu HISTORIA ya Mji huu,Uwanja uko wazi kwenu.






Bukobawadau tunahitaji kutengeneza historia ya Mji huu kutokana na mawazo na michango yenu wadau wetu.
Next Post Previous Post
Bukobawadau