Bukobawadau

KARIBU SANA MR APPETIZER BEN MULOKOZI MJINI HAPA!!

Pichani anaonekana Mdau Ben Mulokozi katika picha ya pamoja na Mzee Bayona Muda mchache baada ya kuwasiri Mjini hapa.
Mmoja wa washika dau wakubwa Mr Basibila pichani kushoto na Mr Shaffi wakishow love na Mdau Ben Mulokozi

Naam Mr Binuzi Ben Mulokozi
Kama kawaida biashara ni matangazo, hivi ndivyo walivyojipanga watu wa New Coffee hotel.


 Cha kujivunia kwa sasa Uwanja wetu wa Ndege kwa sasa ni rami.

 Mwanzo wa safari kuelekea katika kukabiliana na jukumu lililo mleta
Next Post Previous Post
Bukobawadau