Bukobawadau

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU KENETH RWAKATARE

Mdau Mama Mwainunu akiwa kwenye majonzi mazito kufuatia kifo cha ghafla cha mwenzie Marehemu Keneth Rwakatare, Mazishi yamefanyika Kijijini IGURUIBI  KABOYA
 Mchungaji (Mbunge) Mama Rwakatare akiweka shada na kumuaga marehemu mume wake
 Dada wa Marehemu Keneth wakiweka mashada yao kaburini
 Mchungaji Bililiza nae akiweka shada, baada ya hapo aliweza kutoa neno zuri la kufariji familia.
Mama Mwainunu anaweka shada lake na kusema;'alleluya tutaonana siku ya mwisho Keneth pale ambapo mbingu na nchi zitafunguka.
Katika anaonekana Mama Rwakatare katika hali ya majonzi.
 BUKOBAWADAU BLOG Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wote wa familia ya Mama Mwainunu na Mama Rwakatare,Poleni na msiba huu. Tunawaombea amani na faraja katika wakati huu!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau