Bukobawadau

Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza atoa baraka zake kwa Safari Lager

  Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza,Mh. Baraka Konisaga (kushoto) akisalimiana na Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) jijini Mwanza,Andrew Mbwambo wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Furahisha tayari kwa Hafla ya kutoa Baraka zake wa Bia ya Safari Lager iliyoshinda Tuzo ya Bia Bora Barani Afrika.Kulia ni Meneja Matukio wa TBL kanda ya Ziwa,Erick Mwayela na wa Pili kushoto ni Mdau Deodatus Katambi
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza,Mh. Baraka Konisaga akipokea Kombe la Ushindi wa Bia Bora Barani Afrika ulioupata Bia ya Safari Lager

Next Post Previous Post
Bukobawadau