Bukobawadau

UHURU AMTEMBELEA MOI NYUMBANI KWAKE

Rais Uhuru Kenyatta wa kenya amemtembelea Rais Mstaafu wa Nchi hiyo Daniel Arap Moi  nyumbani kwake Nairobi.Uhuru amemtembelea Mzee Moi kwa lengo la kumshukuru kwa ushauri na moyo aliokuwa akimpa wakati wa mchakato wa Uchaguzi Mkuu nchini humo.
Mazungumzo ya pamoja kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyata na Rais Mstaafu Daniel Arap Moi
Kushoto ni Gideon Moi katika maongezi ya pamoja na Mzee Daniel Arap Moi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau