Bukobawadau

WADAU WAKICHECK NA CAMERA YETU

 Mdau Shamila Ismail mpenzi na shabiki mkubwa wa LIBENEKE la bukobawadau Blog, ikiwa kwa sasa anaendelea na likizo yake UKO London baada yamasomo yake nchini Ukraine pande za Lugansk
Mdau shamila anasema yupo sambamba nasi, kokote na muda wote.
Akiwa likizo nchini baada ya shughuli zake uko Wichita, Kansas, pichani ni Mdau Yahaya Goronga.
Mdau Yahya kama ilivyo kawaida ya wadau wengi, AKISHOW LOVE na mwanalibeneke Blogger wenu Mc Baraka
Pozi la Mdau Abdul Goronga pichani akijivunua chombo chetu...nakusema 'Onage bandonde Mc'
 Cha ziada tulichonacho ni ule utamaduni wetu wa kuwakutanisha wadau waliopotea kitambo.
Pichani wanaonekana wana James Kagashe na OMG Revocatus Biro
 Mdau Mashi Msonja, akicheck na Camera yetu

DAAH! Kiwanja kiwanja tu Mshkaji hakika yupo wima...kwa ufupi ni kwamba yeye mwenyewe na mambo yake yamesimama!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau