BUKOBAWADAU BLOG TUPO KATIKA KAMPAINI YA VIJANA KUANZISHA MASHAMBA YA MATUNDA
#Team Kanyawela tupo katika mchakato wa kuanza kampaini kwa vijana kujiunga katika makundi ili kuanzisha MASHAMBA YA MITI YA MATUNDA ili kujikwamua kiuchumi badala ya kutumiwa.
LENGO LA KUANZISHA KAMPAINI HII KUJIKOMBOA KIUCHUMI,KUPITIA FULSA HII TURAFANIKIWA KUPUNGUZA MAJUNGU,MAKUNDI YA VIJIWE VYA KAHAWA , KUTUMIWA NA KUTUMIKA KWA FAIDA YA FLANI AMA KUNDI FLANI LA WATU WACHA CHE,NA IWAPO ITAWEZEKANA BASI ITAKUA RAHISI KWA SERIKALI KUTOA HUDUMA IKIWEMO MIKOPO KWA AJILI YA KUKUJA MITAJI YETU.
HII NI #TEAM KANYAWELA!!