Bukobawadau

HIVI NDIVYO NDUGU FLORIAN PESHA ALIVYO MVISHA PETE MCHUMBA WAKE FABIOLA SSEBUYOYA

Jana ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa Bwana Florian na Fabion baada ya kufanya uamuzi wa busara wa kuvisha pete mbele ya wazazi wao
Mpenzi Fabiola na  kuvisha pete hii iwe ishara ya mapendo yangu kwako.
Mtu na mpenzi wake wakiagiana.

Anaonekana Eng Mwighusa D.N.R.M akifanya yake, ni mwendo wa Jack Daniel.
Ni wazi kabisa anaonekana ametulia mwanadada Fabiola,kama unavyojua haya mambo  alikuwa katika wazo zito akijiuliza ni lini mzee mzima atamvisha pete.
Hivi ndivyo anavyo onekana akitwitte Eng. Kagaruki , pembeni ni Mr Orton Kiishweko
Tukio hili ni baada ya zoezi zima la kutoa Mahari kukamilika.
 Anaonekana mwenye furaha Ndg Pius Makale ,kulia kwake ni Mdau Florian Pesha.
 Kwa umakini wanaonekana marafiki wa kubwa wa Mdau Florian, kutoka kushoto ni Celestine Ishengoma, Boniface Matambula aka 'OWARUGOYE' na Respicius Mshangaki.
Shughuli inaendelea hakika watu walikuwa ni wengi sana na Bukobawadau blog tulikuwepo kuwa-support maharusi hawa watarajiwa.
Boniface Matambulakushoto,Celestine Ishengoma,OMG  Godfrey Matambula na Respicius Mshangaki.

Sehemu ya waalikwa kutoka kushoto ni Dr Eliud Ihare, Eng Mwighusa D.N.R.M na Pius Makale
Wasiliana na Bukobawadau kupitia 0715 505043,0754 505043au 0784 505045 pia viber tunapatikana BBM kwa pin  26F2A367 NA 234E5 DD7 au 0713 397241 Email bukobawadau@ gmail.com kwetu sisi kazi ndio msingi,kuwa karibu na wadau ni utamaduni,ama kwa hakika Uzalendo ni sera yetu.!!!
Habari hii inapatikana Bukobawadau Blog, Bukobawadau Instagram,Bukobawadau facebook page hapa unachotakiwa kufanya ni wewe kutuopia like tu!katika page yetu husika, pia twitter @bukobawadau.

 Timu nzima ya Bukobawadau Blog tunawatakia maisha mema na yenye furaha katika kipindi hiki chote cha maandalizi mpaka kufikia ndoa
Next Post Previous Post
Bukobawadau