MJUWE MSANII ASHRAF LUGUSHA
Msanii mwenye umri mdogo kutoka Manispaa ya
bukoba maarufu kma lil ashy wa zaman ss akijulikana kwa jina la
Ashraaf...mwenye makazi yake jijin dsm kwasasa, Ameongea na Bukobawadau
na kufunguka kuwa ameamua kuwapa zawadi mashabika wake wa nyumbani
kagera kwa kuachia video yake ya wimbo BE HAPPY akimshiriksha MAC 2B wa
wateule....!!! Video HIYO ambayo inaendelea kufanya vizri katika vituo
mbalimbali vya redio na television...!!!
VIDEO INAMATIKANA YOU TOBE... muendelezo wa mtandao mama wa bukobawadau unao bang nje na ndani ya nchi ni kuwafikia wadau na wasanii wote wanaotoka ukanda huu, tupo na D'make Presenter, Jimmy Yeyoo anakuja kwa kasi, Msanii Vest P, Mtu mzima Tabula aka Mwili mtamu,na wengine wengi!!
Lengo letu ni kuwa pamoja toka enzi za King Luvada,Tee Drema, Abajulizi,na sasa tupo katika kuboresha single ya 'Kanyawela' na BK sumnna....
**kazi kwao wafuatao mkondo basipo kujua mwisho na mwanzo ni wapi?
#team Kanyawela.

#Team
Kanyawela#Team Bukobawadau ,wasiliana nasi kupitia 0715 505043,0754
505043au 0784 505045 viber ,Whats App pia tunapatikana BBM kwa pin
26F2A367 NA 234E5 DD7 au 0713 397241 Email bukobawadau@ gmail.com kwetu
sisi kazi ndio msingi,kuwa karibu na wadau ni utamaduni wetu ,Uzalendo
umesimama kama sera!!!