Bukobawadau

NGASSA ATAMBULISHWA RASMI YANGA NA KUSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI.

Katibu wa Yanga, Lawrence Mwalusako akimkabidhi Ngassa jezi ya Yanga leo.
 Mrisho Ngassa akiibusu jezi ya Yanga baada ya kutambulishwa rasmi kurejea katika klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili asubuhi ya leo, makao ya klabu hiyo makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam.
Next Post Previous Post
Bukobawadau