Bukobawadau

PICHA ZETU ZA LEO KWA HISANI YA WILLY KIROYERA

Wengi wameuliza ni nini kinacho mshangaza  huyo mwanadada pembeni?
Samaki kutka ziwa victoria.
Anaonekanav Ndg Willy Lutta akionyesha picha ya meli iliyotengeneza kwa sanaa ya aina yake.
Shukrani kwako ndg Willy kwa ushirikiano unaotupa kwa njia moja ama nyingine.
Next Post Previous Post
Bukobawadau