Bukobawadau

TATIZO KUNAENDELEA KUWA TATIZO NA KUONEKANA SIE NDIO TATIZO PALE TUNAPO ONGELEA TATIZO!!!

 Hivi ndivyo Ghuba la kuhifadhia taka likiwa limefurika uchafu kutokana na Kitengo cha usafi wa mazingira kutoka Manispaa ya Mji wa Bukoba kutofika na kuuzoa uchafu kwa muda unaoyakiwa.

 Akina mama wajasilia mali wakijishughulisha na mapishiWafanyakazi wa Manispaa wakiendelea kuwajibika , kama inavyo onekana sehemu ya ndani ya Ghuba hili.
Next Post Previous Post
Bukobawadau