Bukobawadau

TASWIRA WADAU MJINI BUKOBA WALIVYO MKARIBISHA RASMI MDAU ALMACHUS VEDASTO NDANI YA MANISPAA YETU.

Pichani anaonekana Kijana mpambanaji Almachus Vedasto, mzaliwa wa Mkoani Kagera ila kwa sasa ndio ametuwa Rasmi Mkoani hapa kikazi.
 Kijana home Boy mzaliwa wa Bugandika bila shaka wengi wanamuelewa Mzee Vedasto Rweumbiza.
 Wadau wakimiminika nyumbambani kwa Bw Vedasto, pichani anaonekana Bi Sharon na Bi Lizy Betty katika pozi.
Kaka Ally Mwiula na familia yake
 Waalikwa wakiendelea kuingia nyumbani kwa Mdau Vedasto kwa mbwembwe lukuki.
Hope Kasimbanzi wa Makoko sambamba kabisa na shost wake Mama Matovelo.
 Mama Mato kama kawaida naye ndani.
Mtu mzima Ans katika action , ingawa anamajinzi ya kuondoka kwa kocha Wao mzee Ferguson.
Mjomba Kahabuka
Mnyamwezi Saidi Bunduki, hapa amemkosa mwenzake Mzee Matovelo.
Mtanashati Rahim Abdul Rahim Kabyemela akitanabahisha ili na lile.
 Mkurugenzi Mtensa naye alikuwepo pia.
Kwa bashasha, shauku na tabasamu ndivyo anavyoonekana Bi Mai Mainda wa Kassim.
Mtu na Kaka yake katika pozi
Hakika Mkurugenzi Mtensa toka ametoka Ughaibuni ata pozi limebadirika.
Dada Liliani Peter mwise akiwa mwenye nuru nzito na style yake ya Bambucha!
Anaitwa Devotha aka Mtoto wa Jeans akicheza na nokia lingo
Kamanda Fide katika pozi panaa,kamba shingo ni madini ya fedha.
Anaitwa Vanessa aka Cheusi Mangala kielelezo halisi cha kabila la kihaya.
Bi Rehema Ramadhani kushoto na Ndg Sunday matelephone  wakibeng
Makamuzi yakiendelea na makamuzi na kufurahia hali nzuri ya hewa

Wanyamwezi wa Bukoba Veteran nao  walikuwepo.
Mastaa wote ujivunia , hiki ni kielelezo tosha kama kim kardashian
Kidole hicho...
Anaitwa Salim Bonge al maarufu Salim mafix .
Wakati wa Champain, Mama Mato akitumia uzoefu wake, hakika wa mjini utawajua tu,Binafsi ukiniambia nifungue sitosita kuomber Opener.
Kitu KULEEEE!! Mlipuko pwaaa puuu watu eeeehhhhh!!, watu waaaaAA!! wahaya wanasema GAYA wengine BWANULA hapa wamesikika wakisema waitu Veda nyegera nyegera nyegerage!!

Anaonekana kaka mkuu akicheza vizuri na pakupigia picha, mambo ya location ipi inafaa  yanahusika!
Saidi Bunduki wakati wa mahakuri
Waalikwa wakiendelea kupata msosi
Sunday akiendelea kupata mulo, pembeni yake ni Mwanadada Mgeni.
#Team Kanyawela#Team Bukobawadau ,wasiliana nasi  kupitia 0715 505043,0754 505043au 0784 505045 viber ,Whats App pia tunapatikana BBM kwa pin  26F2A367 NA 234E5 DD7 au 0713 397241 Email bukobawadau@ gmail.com kwetu sisi kazi ndio msingi,kuwa karibu na wadau ni utamaduni wetu ,Uzalendo umesimama kama sera!!!
Mzee Ally Mwiula na familia yake wakiendelea kupata msosi.
Wahenga walisema Shibe uleta usingizi.
Patrick Pombe akipata huduma ya chakula.,kwa nyuma anaonekana Dada Mainda Kassim , dada wa kujituma akifanya kila liwezekalo ku akikisha kila kitu kinaenda sawa bin sawia
Mwanadada Lizy Betty, naweka nukta.

Muda sasa wa story, gatuwe, udaku na za chini ya kapeti.
Kamua kamua Dada  Devotha.


Vikao vya mara kwa mara havikosekani  ili kuakikisha shughuli ya mtu inakwenda sawa.
 Mr & Mrs Said Bunduki.
Kama kawaida kaka mkuu akifunga sherehe  kwa kupiga maneno kidogo huku akichombeza haya na yale wadau wakifa mbavu kwa vicheko,  matani yake ambayo yameendelea kuwa nguzo imara ya umoja wa kundi lao yaani PAMOJA GROUP ikiwa wana imani kuwa palipo na matani ndipo ulipojaa upendo wa kweli.Hata nchi yetu inawatani mfano muhaya kwa mjaluo/mkurya ,Mchaga na mpare,pia mzaramo kwa msukuma ili mradi tu burudani iwepo.
 KAMA KAWAIDA BUKOBAWADAU BLOG TUMEKUWA MSTARI WA MBELE KUWAJUZA WAPENDWA WETU KILA KINACHOJIRI KWENYE MJI WETU, NCHINI NA DUNIANI KWA UJUMLA TUNAMKARIBISHA SANA MDAU ALMACHUS VEDASTO NDANI YA MANISPAA YETU YA BUKOBA WAITU TULIAMO!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau